У нас вы можете посмотреть бесплатно WAISLAMU WAIGUNDUA INJILI YA BARNABA 📱 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa nini Wakristo Hamuitambui Injili ya Barnaba? lililoulishwa na: Abdullah Mbwana, Mombasa. Imetibitishwa kwamba kitabu kinachojulikana kama Injili ya Barnaba hakina uhusiano wowote na Ukristo. Ni ushahidi bandia kuhusu Injili takatifu na jaribio la kuwakilisha kwa ubaya dini ya Kikristo. Kitabu hiki kinachohusishwa na Barnaba kilitafsiriwa katika lugha ya Kiarabu na Dr Khalil Sa'adah, kutoka nakala ya Kiingereza katika mwaka 1907. Injili hii ilikataliwa kabisa na Wakristo kwa sababu ilikuwa ya kubuni na ya uongo. Wale ambao waliikubali walikuwa baadhi ya madhehebu ya Waislamu. Walifanya hivyo kwa sababu rahisi sana; kwamba sehemu kubwa ya Injili hii inaunga mkono madai kwamba Kristo hakusulubiwa, lakini sura yake aliwekewa Yuda Iskarioti ambaye alisulubiwa badala yake Yesu. 🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...