У нас вы можете посмотреть бесплатно MAOMBI YA KWARESMA 2026 | Maombi ya Kufunga na Kuomba | Siku 40 za Toba na Urejesho или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maombi ya Kwaresma kwa yeyote anayefunga siku 40 za kufunga na kuomba. Maombi haya ya toba ya kweli yatakusaidia kupata nguvu, msamaha na urejesho wa moyo wakati wa Kwaresma. Je unatafuta maombi ya Kwaresma kwa Kiswahili? Unahitaji maombi ya kufunga na kuomba wakati wa siku 40? Au unataka maombi ya toba ya kweli yatakayokusaidia kumkaribia Mungu katika kipindi hiki cha Kwaresma? Video hii ni maombi maalum ya Kwaresma kwa ajili ya: ✔ Wanaofunga Kwaresma kwa mara ya kwanza ✔ Wanaotaka kuimarisha mfungo wao ✔ Waliovunjika moyo njiani ✔ Wanaojiandaa kwa Ijumaa Kuu ✔ Wanaojiandaa kwa Pasaka ✔ Wanaotafuta tafakari ya Kwaresma ya kina Katika maombi haya utaombea: Toba ya kweli Msamaha wa dhambi Nguvu dhidi ya majaribu Urejesho wa kiroho Unyenyekevu wa moyo Neema ya kumaliza siku 40 kwa ushindi Maneno muhimu (search terms) yanayohusiana na video hii: maombi ya Kwaresma, maombi ya kufunga, maombi ya siku 40, maombi ya toba, maombi ya jioni Kwaresma, maombi ya asubuhi Kwaresma, tafakari ya Kwaresma, Swahili gospel prayer, maombi ya Pasaka, maombi ya Ijumaa Kuu, kufunga na kuomba kwa nguvu. Kama umebarikiwa na maombi haya: Andika Amina kwenye comments. Share na familia yako au marafiki wanaofunga Kwaresma. Subscribe kwa maombi zaidi ya Kiswahili, tafakari za Biblia na nyimbo za injili.