У нас вы можете посмотреть бесплатно Ndoa ya TNA URP или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vyama vya TNA na URP hatimaye vimeafikiana kwenye muungano wao wa kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu ujao, makubaliano yatakayo tangazwa hadharani kwenye mkutano wa pamoja mjini nakuru siku ya jumapili. Hata hivyo, afisi ya naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta imelazimika kufutilia mbali tangazo lililokuwa limetolewa kwa vyombo vya habari awali hii leo mchana kuhusu makubaliano hayo. Hii ni baada baada ya chama cha URP kuzua tetesi kwamba tangazo hilo lilifaa kutolewa kwa pamoja na sio kuptia chama kimoja.