У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Achia jala Ft Kaa La Moto или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official music video of a record Achia jala by Dizasta Vina off the upcoming album A Father figure, Written and perfomed by Dizasta Vina & Kaa la moto & Irene, incredible nory & Gerrard Mhabi Shot and edited by Dee ayo. Stream/Download Achia jala Boomplay - https://www.boomplay.com/songs/146659... Mdundo - https://mdundo.com/song/2725437 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/son... Youtube - • Dizasta Vina - Achia jala Ft Kaa La ... Apple Music - / achia-jala-single Spotify - https://open.spotify.com/album/3xZ5AX... Genius - https://genius.com/Dizasta-vina-achia... Other music by Dizasta Vina Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina Boom play - https://www.boomplay.com/artists/3288611 YouTube - / dizastavina Mdundo - https://mdundo.com/a/2263 Spotify - https://open.spotify.com/artist/1IC2b... Apple music - / dizasta-vina Deezer - https://www.deezer.com/artist/67967532 Spotify playlist - https://open.spotify.com/playlist/37i... Genius - https://genius.com/DizastaVina Connect with Dizasta Vina on social medias Instagram - / dizastavina Twitter/ X - https://x.com/dizastavina Facebook - / dizastavina07 https://sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta... Business: [email protected] Website - https://bio.link/dizastavina Lyrics Oya Mwela alikuja nikampiga sound mbumba mbaya Siwezi lala down town naitunza kaya Niko around ninavunja taya Michongo kibao town wana hawakuvuta waya Achia jala Ni heri kuyashinda majaribu Ila kufeli ni kushindwa kujaribu Baba alifeli siwezi feli pia Namiliki jina la ukoo sio sheli dia Siwezi lala njaa itanigaraza Kwahiyo usiniletee risala achia jala kwanza Sina kazi nimedandia ndala Alafu unanikazia fala Bro achia Jala Hauna shida ndo' maana unapendeza Alafu unaniambia hauna fedha Sikupi kichaka sikupi hata stata utakimbia, Achia jala ntakupiga mitama utajifia Sikupenda kuwa vikundi vya wahuni, Nilikuwa madini ambayo hauyakuti vitabuni, Nilikuwa mtu kabla enzi zangu Haya maisha yangu ni kitabu na hii ni peji chafu, So achia jala Dingi mwenyewe alitoboka Madeni kama dhambi milele nakokota Na alipodondoka nikarithi shida Ndio maana Kuelewa mtu lazima uelewe alipotoka So, Achia jala Sichezi kamali na washua Nitakupiga kabali nitakuua, sikuachii hata ukisali Matumaini yako mbali Nami nipo katikati ya bahari Na mashua Hauwezi kuwa mtoto ukishazaa Nina mtoto sasa, sitaki kuuza ndoto ka bidhaa Mwanzo nilikuwa na ndoto na iling'aa Lakini bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa Nilipenda kuwa rubani Ila mambo ni makubwa ukubwani Nikaishia kuwa mkulima fani niliyofunzwa nyumbani Kabla shamba halijakumbwa tufani So achia jala Nimekufata tangu Benki najua kuwa una cash Uliingia ukiwa empty ukatoka na mabegi Una-act kama Ndezi Unaniletea undezi nitakuletea ushenzi wewe Nilichora plan na sikupiga mchele Wenzangu wa mtaani ni'shazika tele Najua unahesabu time si ujaribu kurun sijui Nimeshika gun nitakuchezea shere Achia jala, Siwezi kudanganya kuhusu Haya Madusko hatuwezi kugawana nusu Usihubiri sisadiki maadili Maisha yenyewe mafupi na hatuishi mara mbili Achia jala Mbunge halijui jina langu Ramani ya jiji haisanifu njia zangu Hawajivunii ndugu zangu, Miungu haisikii sauti yangu Niko peke yangu mimi na gun yangu Nitaku pah pah Kisha unione mamluki Nitakuchezesha mabuzuki Nishafungwa mara tatu nimetoa roho nne Utakuwa wa tano, so jaribu kutoka nduki nikuonyeshe Nipo kazini so achia jala Nitakutia ngwara ufe Mafanikio ni kwa wale majasiri Walio tayari kusubiri ni makupe Nisikize brother Ni'shafanya mamziki Sikuvutia kukusanya mashabiki Naogopa kuwa begi nishazika marafiki Nilishalala na maiti nishajiuza kwa shangingi Nishafunga mahirizi, nishakula mamizizi Nishafuga Jinamizi mamisuba nikasizi Nishakuzwa na waizi waliokuzwa na machizi waso.... Mama ananiona failure for life Na ninamisi kumbatio la wife Mkwe ananiona bwege, napeleka nuksi malangoni pake Shemeji ananiona sio type So achia jala, nitakubia roho nipe jala Usinizoee usinipe gwara Unahisi sina maadili ninafata mkumbo bwege huwezi kuwa consious ukiwa tumbo empty Achia jala Sijarithi mali ili nizichunge kama zako jala ziko mbali nizifuge Kama zako Wajomba masadali sio wabunge kama wako Sijaenda shule yako... I'll fucking shoot you, Achia jala Nimeshindwa leo sio kwamba nilisinzia jana Sijakwambia kwamba alisinzia baba Hakujua mkwanja ni maua mazuri yanafifia ghafla Achia jala Hey, so sad hunijui boy, am not of your Calibre Usituone tu tajiri, wengi tuna suck blood ki-Cannibal. Msimamo kitaliban, na roho ya kijahidina. Kama mbwai mbwai ndio utajua mi kikosi kama Pina. But I won't choose that hata ka' niko street smart. nna-pure fact nahisi we ni mgonjwa unahitaj.......