У нас вы можете посмотреть бесплатно MSOMI ALIYETOBOA KIMAISHA KUPITIA UFUGAJI BAADA YA KUKOSA AJIRA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DODOMA: YOHANA Yindi maarufu Yindi Makuchi, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya kukumbana na changamoto ya wimbi la ukosefu wa ajira aliamua kujikita kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji na baadae kuchi, bata mzinga, bata bukini na kanga na sasa anakula matunda kwa kuiniza kipato kikubwa jambo ambalo hataki tena kusikia habari za ajira. Ni kwa namna gani aliweza 'kutoboa' kimaisha kupitia ufugaji? Fuatana nami katika makala hii fupi unufaike pengine na wewe ambaye unakumbana na changamoto ya ajira unaweza kupata mwanga wa nini ufanye uweze kutoka kimaisha... Imeandaliwa na Fadhili Akida Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09