У нас вы можете посмотреть бесплатно Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania aeleza ugumu wa biashara ya usafiri wa ndege или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mashirika ya ndege katika baadhi ya nchi za Afrika yamekuwa yakikabiliwa na changamoto mbalimbali za uendeshaji shughuli zake. Ungana na mwandishi wetu katika mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania akieleza ugumu wa biashara ya huduma ya usafiri wa ndege na uelewa wa biashara hii katika nchi za Kiafrika. Endelea kumsikiliza... #precisionair #ndege #mashirika #afrika #uendeshaji #biashara #usafiri #Tanzania #voa #voaswahili #dunianileo - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.