У нас вы можете посмотреть бесплатно Vitu 3 Vinavyoongeza Hatari ya Kupata Saratani (#1 Familia Yako?) | Daktari Bingwa Aeleza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Saratani inaongezeka duniani hasa kwa nchi za Afrika. Baadhi ya watu wana hatari kubwa zaidi kutokana na historia ya familia pamoja na sababu zingine. Video hii itakusaidia kuelewa hatari yako na namna ya kujikinga. Dr. Glory Makupa (KCMC), daktari bingwa magonjwa ya saratani (oncologist), anaelezea kwa kina: Kwa nini visa vya saratani vinaongezeka duniani Sababu kuu za hatari ya kupata saratani Nafasi ya historia ya familia katika kupata saratani Hatua unazoweza kuchukua kupunguza hatari yako 🎥 Tazama hadi mwisho kujifunza hatua muhimu za kulinda afya yako na familia yako. Usisahau ku-like, share na subscribe Social media links Instagram: / drfaraja_md Tiktok: / dr.farajam