У нас вы можете посмотреть бесплатно Mobo - Siri (Official Lyrical Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
M-salabani alimwaga damu Pia akatirika maji kwa uchungu Ili nipone magonjwa yote Hiyo ndiyo siri ya afya yangu M-salabani alimwaga damu Pia akatirika maji kwa uchungu Ili nipone magonjwa yote Hiyo ndiyo siri ya afya yangu [Chorus] Siri ya uzima wangu, niYesu Siri ya afya yangu, ni Yesu Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu Siri ni msalaba wa Yesu kwetu Siri ya uzima wangu, ni Yesu Siri ya afya yangu, ni Yesu Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu Siri ni msalaba wa Yesu kwetu M-salabani alimwaga damu Akaniosha dhambi nikatasika Akafuta dhambi zangu kwa jumla Hiyo ndiyo siri ya uzima wangu M-salabani alifanyi kamaskini Kunikomboa kwenye nira za ufukara Ili niwe na ufanisi na niwe na mali Hiyo ndiyo siri ya ufanisi wangu [Chorus] Siri ya uzima wangu, niYesu Siri ya afya yangu, ni Yesu Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu Siri ni msalaba wa Yesu kwetu [Guitar] [Chorus] Siri ya uzima wangu, niYesu Siri ya afya yangu, ni Yesu Siri ya ufanisi wangu, ni Yesu Siri ni msalaba wa Yesu kwetu