У нас вы можете посмотреть бесплатно SHUHUDIA RAIS MWINYI ALIVYOONDOKA ZANZIBAR KUELEKEA NCHINI CHINA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB... Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea jijini Dar es Salaam tayari kwa safari ya ziara ya kikazi nchini China. Katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume Rais Dk.Mwinyi ameagwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla. Rais Dk.Mwinyi ameambatana pia na mkewe Mama Mariam Mwinyi na pamoja na viongozi mbalimbali . Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5