У нас вы можете посмотреть бесплатно KAKAMA YAWAALIKA WANANCHI KUONYESHA MAHABA KWA KISWAHILI ‘VALENTINE DAY’ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (Kakama) imewaalika Watanzania na wananchi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushiriki maadhimisho ya miaka 10 yatakayofanyika Februari 14, 2026 kwa kuzitumia fursa na ubunifu ili kuleta maendeleo endelevu. Amesema taasisi hiyo inapotimiza muongo mmoja tangu kuanzishwa kwake, ni vyema Wanajumuiya ya Afrika mashariki kuonyesha fahari kukitumia Kiswahili na siyo kukitweza. Wito huo umetolewa leo Februari 12, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki (Kakama), Dk Caroline Asiimwe alipotembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) Tabata Relini, jijini Dar es Salaam. Dk Asiimwe amesema kutambuliwa kwa lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi kimataifa kumechochea fursa mbalimbali zikiwezo tafsiri na ukalimani, ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni, uuzaji wa machapisho, sanaa, uandishi wa machapisho na nyinginezo. Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Abdullah Makame amesema kutokana na maadhimisho hayo kufanyika tarehe 14 ambayo huadhimishwa Siku ya Wapendao ni vyema wananchi kutumia lugha ya Kiswahili kwa wivu mkubwa katika nyanja mbalimbali kwa usanifu wake na kuhimiza utekelezaji wa uamuzi unapokuwa umeazimiwa kwa pamoja.