У нас вы можете посмотреть бесплатно Benki ya CRDB yazindua Hatifungani ya Al Barakah Sukuk или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo ameipongeza Benki ya CRDB kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye mauzo ya “Kijani Bond” na “Samia Miundombinu Bond”. Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Hatifungani ya CRDB Al Barakah Sukuk, uliofanyika jijini Dar es Salaam, amesema mafanikio ya hatifungani hizo yanatoa taswira kuwa hata CRDB Al Barakah Sukuk itapata mafanikio makubwa kwani wawekezaji wana imani katika malengo na uwezo wa Benki ya CRDB. Aidha Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete ameeleza kuwa CRDB Al Barakah Sukuk itaongeza mchango katika ushiriki wa Watanzania kwenye masoko ya mitaji na dhamana kwa kuwa inatoa nafasi kwa watu ambao awali walikuwa hawawezi kuwekeza kwenye hatifungani zenye riba kwa sababu ya imani zao kuweza kuwekeza katika hatifungani hii.