У нас вы можете посмотреть бесплатно KUPIGANIA UREJESHO - REV. LUKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika safari ya maisha, kuna wakati tunapoteza mambo ya msingi—iwe ni amani, muda, mahusiano, ama nafasi zetu za mafanikio. Video hii ni mwongozo na hamasa kwa kila mtu aliyechoka kubaki nyuma na sasa yuko tayari kusimama kidete Kupigania Urejesho. Urejesho hauanyi tu hivi hivi; unahitaji nia, mkakati, na ushujaa wa kudai kile kilicho chako. Karibu tujifunze jinsi ya kugeuza mapigo kuwa ushindi na kurejesha kila kilichopotea mara dufu. 👍 LIKE: Bonyeza alama ya Like ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi. 🔔 SUBSCRIBE: Jiunge na familia yetu kwa kusubscribe ili usipitwe na masomo mengine ya kiroho na mafundisho ya uzima. 💬 COMMENT: Ungana nasi hapa chini kwa kuandika: Ni neno gani au sehemu gani ya somo hili imegusa moyo wako leo? #KupiganiaUrejesho #Urejesho #Maisha #Mafanikio #Hamasa #Imani #Kushinda #Ushindi #Cffchurch