У нас вы можете посмотреть бесплатно FURAHA KATIKA YESU - KWAYA YA WATAKATIFU WOTE TMCS DIT или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tumfisu Yesu Kristo Nawakaribisha kutazama wimbo huu unaoitwa FURAHA KATIKA YESU utunzi wake FELICIAN BUKENE ambao umeimbwa na Kwaya ya Watakatifu Wote iliyopo Jimbo kuu la Dar es Salaam katika Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (Tanzania Movement of Catholic Students (TMCS) DIT). Nyimbo hii inapatikana katika album inayokwenda kwa jina la BWANA NIFANYE CHOMBO CHA AMANI yenye nyimbo mbalimbali ambazo ni 1. Tunakusalimu mama mwema - Godfrey Maro 2.Usiyahesabu Mema - V. Murishiwa 3. Jesus Christ - M. Frisina 4. Kwangu kuishi ni Kristo - B. Maro 5. Amsheni karama zenu - V. Murishiwa 6. Bwana nifanye chombo cha amani - B. Maro 7. Waufumbua mkono wako - J. Sarwat 8. Furaha katika Kristo - F. Bukene 9. Upendo umetoweka - G. Maro 10. Malitimua Vumbi - V. Murishiwa 11. Familia Takatifu - B. Idama MANENO YA WIMBO MUSIC LYRICS (MANENO YA WIMBO) Ninafurahia kuwa katika Yesu mimi Yesu ni mwamba maishani mwangu mimi, Yesu wangu ninajikabidhi kwako uniongoze Bwana unilinde tena uniepushe Bwana na adui zangu. MASHAIRI 1. Nionewapo na adui zangu yesu wanitetea pia unanilinda. 2. Siku ningine nisingiziwapo Yesu wanitetea pia unanilinda. 3. Watu wakubwa wanaponitenga Yesu wanitetea pia unanilinda.