У нас вы можете посмотреть бесплатно Pambano la Mwakinyo na Mfilipino kuruka LIVE Azam TV Nov 29, mkataba wasainiwa, ahadi yatolewa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampuni ya Azam Media Limited na Kampuni ya Hall of fame Promotion mchana wa leo wamesaini mkataba wa kuonesha pambano la ngumi za kulipwa kati ya Bondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay kutoka Ufilipino. Pambano hilo litafanyika Novemba 29 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mkataba huo umesainiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media LTD pamoja na Promota wa pambano hilo Jay Msangi huku waandishi wa habari za michezo kutoka vyombo mbalimbali hapa nchini wakishuhudia tukio hilo lililokuwa mubashara Azam Sports 2. Kwa upande wake bondia Hassan Mwakinyo asema mpinzani wake Arnel Tinampey atakayepambana naye Novemba 29 mwaka huu, hajawahi kupigwa, hivyo ajiandae kupigwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.