У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ibadayamaombiyajumatano #TufundisheKuomba #MchGodlivenNgessi #NitakwendaKujihusisha #JihusisheYesuAnakuja Karibu katika Ibada ya Maombi ya Jumatano || Tarehe 26 Novemba, 2025 || Saa 11:00 Jioni Ni siku ya maombi, sifa, na Neno la Mungu – tutaomba, tutaleta hoja zetu mbele za Bwana, tutaimba kwa furaha na kusikiliza sauti Yake kupitia Maandiko. Usikose! Mwalike rafiki na ndugu naye apate mbaraka huu. Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe [email protected] au [email protected] SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive Mungu akubariki.