У нас вы можете посмотреть бесплатно PowerPoint Tutorial kwa Kiswahili | Tengeneza Presentation ya Kitaalamu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye Hendry Tech 🚀 Katika video hii, utajifunza Microsoft PowerPoint kuanzia mwanzo hadi hatua za kitaalamu. Tutorial hii imeandaliwa kwa vitendo, ambapo tunatumia mfano halisi wa maisha – mada ya Forests (Misitu) – ili kukuonyesha jinsi ya kutengeneza presentation safi, inayoeleweka, na ya kuvutia. Utajifunza jinsi ya kuandika slides, kuchagua layout sahihi, kutumia SmartArt, picha, charts, animations, transitions, hadi kuhifadhi na kuonyesha presentation yako kwa ufanisi. Tutorial hii inafaa kwa beginners, wanafunzi, walimu, na watu wa ofisini wanaotaka kuboresha ujuzi wao wa PowerPoint. 🌐 Tembelea tovuti yetu: 👉 https://hendrytechfamily.wordpress.com ⏱️ TIME STAMPS / CHAPTERS 00:00 – Intro 00:47 – Overview of Microsoft PowerPoint 01:15 – Start writing a title & basic text 02:10 – Adding new slides 02:30 – Slide layout explained 02:57 – Change design & themes 04:29 – Adding & customizing SmartArt 06:08 – Adding & customizing pictures 08:49 – Inserting a chart & customizing it 11:29 – Adding animations 15:11 – Adding transitions 16:34 – Moving & reordering slides 17:27 – Using Slide Master 19:47 – Saving the PowerPoint correctly 20:20 – Starting a slide show 20:57 – Wrap up & final tips 🔔 Subscribe Hendry Tech kwa mafunzo zaidi ya teknolojia kwa Kiswahili na English. 👍 Like, share, na acha comment kama kuna mada nyingine ungependa kufundishwa.