У нас вы можете посмотреть бесплатно KYOMBO AENDELEA KUZISAKA KURA ZA RAIS, UBUNGE NA MADIWANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWENDO NI ULE ULE! KYOMBO AENDELEA KUZISAKA KURA ZA RAIS, UBUNGE NA MADIWANI Nimwendelezo wa kampeni zenye hamasa ya mshikamano wa chama chetu cha Mapinduzi CCM Mgombea Ubunge Jimbo la Missenyi, Ndg. Florent Laurent Kyombo, ameendelea kusimama bega kwa bega na wananchi, akiwaomba kura kwa ajili ya Mama yetu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wagombea Madiwani wa CCM, na yeye mwenyewe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Missenyi. Kampeni hizi zimeambatana na mapokezi ya nguvu, nyimbo za hamasa na wananchi wanajitokeza kwa wingi kuonesha mshikamano wao na chama cha Mapinduzi Kyombo ameendelea kusisitiza kuwa ushindi wa CCM ni ushindi wa maendeleo, na kuwahimiza wananchi Kujitokeza Oktoba kudumisha mshikamano kwa kura za kishindo kuanzia ngazi ya Rais, Madiwani na Mbunge. ##Oktobatunatiki ✅ ##Tikinitatu✅✅✅