У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA MCHEZO HATARI WA PIKIPIKI ULIVYOUA ARUSHA GIA ZINAPANGULIWA KWA MKONO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aliyekuwa amejipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa kuendesha pikipiki kwa mwendo kasi na kulaza kifua kwenye teki la mafuta huku akiweka miguu yake kwenye kiti cha nyuma na kutumia mkono kuweka na kutoa gia katika chombo hicho, Bw. Abdulrazack Mnyau amefariki Dunia baada ya kugongana na gari akiwa katika mashindano ya kukimbiza usafiri huo eneo la barabara ya East Afrika Mkoani Arusha. #Manyau #Breaking #KifochaManyau GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.