У нас вы можете посмотреть бесплатно UWEKEZAJI WA BILIONI 429 BANDARI YA TANGA WAZAA MATUNDA, SASA WANAKUSANYA SH38.7BILIONI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uwekezaji katika Bandari nchini kwa sasa umeanza kuzaa Matunda hasa katika Bandari ya Tanga ambayo Serikali imetumia Zaidi ya Bilioni 429 zikiwa ni juhudi za kupunguza foleni na Mrundikano wa mizigo kwenye Bandari ya Dar es salaam kwa sasa Bandari ya Tanga mapato yameongezeka kutoka Bilioni Hadi Bilioni 38.7. Hayo yamebainishwa katika ziara ya Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli TASAC kukagua Maendeleo ya Bandali,Ufanisi na Miundombinu yake,Kama anavyoeleza Meneja wa Bandari ya Tanga Masoud Mrisha Mbele ya Bodi hiyo. #sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz