У нас вы можете посмотреть бесплатно HEWA YA UKAA KUIPAISHA WILAYA YA TANGANYIKA KIUCHUMI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi inatarajia kupokea zaidi kiasi Cha Shilingi bilioni 14 kutokana na Mradi wa hewa ya Ukaa itakayo elekezwa katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo Afya na Elimu. Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Shaban Juma Amesema fedha hizo zinatumika kulipa mishahara Kwa watumishi Wa Elimu na Kwa mwaka huu wamepanga kuajili watumishi wa Afya kutokana na ongezeko la vituo vya Afya na Zahanati ili waweze kuwahudumia Wananchi pamoja na bima za Afya Kwa Wananchi. Manufaa hayo yanatokana na Uhifadhi wa misitu ambapo kupitia Ziara iliofanyika na halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Waandishi wa habari Wananchi katika maeneo tofauti wilayani humo vijiji vya Mwese, Kapanga Kayenze na Kagunga wanaonufaika na mradi wa hewa ukaa Wamesema wataendelea kutunza Mazingira ili kupata manufaa zaidi. Moja ya Wananchi katika Kijiji Cha Lugonesi kata ya Mwese Lucia Swilla Amesema Wamenufaika Kwa kupata zahanati ambapo awali walikuwa wanatembea umbali wa kilometa nne kufuata huduma za afya katika Kijiji Cha Mwese hasa Kwa Wanawake hivyo wataendelea kutunza mazingira ili kupata manufaa zaidi. Aidha Mwenyekiti wa Kijiji Cha Kapanga Ndugu Hawazi amesema Wananchi walikuwa wakisafiri Kwa gari kwenda Kijiji jirani Cha Katuma kupata huduma lakini Kwa sasa changamoto hiyo imeindika kwakuwa wamejenga Zahanati pamoja na nyumba ya watumishi hivyo Wana imani utunzaji huo utaendelea kuwapa manufaa zaidi. Zaidi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika amesema fedha hizo zitaendelea kutoa huduma za chakula Shuleni kwa Wanafunzi ili kupata lishe Bora pamoja na kuinua uchumi wa wanajamii kupitia mikopo ya KOKOBA inayotolewa kupitia fedha hizo za hewa Ukaa. #wasafitv #cloudstv #uganda #katavi #bbcnews #ccm #kenyanews #diamondplutnumz #bunge #ikulumawasiliano