У нас вы можете посмотреть бесплатно MISEMO YA BATABOY | SN2 EP8 | 🔥 CHIBO DEE EDITION: MKALI WA FREESTYLE AU MKALI WA GUESS WORK? | 🎤🇰🇪 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Yo! Karibuni tena kwenye kijiwe cha Sumilanii! 💥 Safari hii tuliamua kutia timu mlangoni kwa fundi wa mashairi, nguli wa freestyle kutoka 001 Coast Kenya — mnyama CHIBO DEE! 🏖️ Queuing up for the Bataboy Challenge, tulitaka kuona kama huyu mkali wa mistari anaweza kuhimili presha ya maswali ya mtego. Kitu kimoja ni wazi: Chibo Dee ana confidence ya hatari! 💯 Alitukaribisha kwa mikono miwili na kutufanya tujiskie tuko home kabla ya 'kuchafua hali ya hewa' na maswali. Kilikunacho? 🤔 Mwanzo jamaa alionekana kama anasitasita, akichelewa kutoa majibu utafikiri hayuko sure... lakini cha ajabu? Kila jibu lilikuwa SAHIHI! ✅ Je, ni utaalamu wa misemo au jamaa ni mchawi wa Guess Work? Kutoka swali la kwanza hadi la kumi, Chibo amepita nazo zote! Tukamuongezea mengine mawili ya ziada, akazichinja pia! 🐐 Performance yake kwenye stage, kwenye mic, na sasa kwenye Bataboy Challenge ni EXCELLENT. Hakuna ubishi, Chibo Dee ni OG! Watch till the end uone vile huyu mwanaharakati jasiri alivyokuwa anazipangua! 🎬 Kuhusu Chibo Dee: 🎤 Chibo Dee ni msanii mahiri wa Hip Hop, Freestyle, na Spoken Word kutoka Mombasa, Kenya. Akiwa amezaliwa mwaka 1993, amejizolea sifa kama CEO wa HRG na mwanaharakati jasiri mzalendo anayeipeperusha bendera ya 254. Support Kazi ya Msanii (Stream New Music): 🎧 🔗 Sina Roho Mbaya: • Chibo Dee - Sina Roho Mbaya ( Official M... 🔗 Listen More: / naplgczki5 Mufuate Chibo Dee Kwenye Social Media: 📱 📸 Instagram: Chibo__Dee 📘 Facebook: Chibo Dee Official 🎵 TikTok: @chibodee2 Kwa Booking na Business: 💼 📧 Email: nelsonkiboni@gmail.com 📞 Simu: 0746320514 Don't forget to: ✅ SUBSCRIBE kwa channel yetu ya Sumilanii. 🔔 GONGA KENGELE ili usipitwe na michezo inayofuata. 💬 COMMENT hapo chini: Kati ya Chibo Dee na Bataboy, nani amemfunika mwenzake? #Sumilanii #ChiboDee #BataboyChallenge #MombasaHipHop #FreestyleKing #KenyaMusic #CoastKenya #HRG #SinaRohoMbaya #HipHopCulture #254Fashion #MombasaRappers STAY TUNED. STAY GENUINE. 🇰🇪🔥