У нас вы можете посмотреть бесплатно MMOJA ADAIWA KUUAWA KWA RISASI KISA MALI ZILIZOACHWA NA BABA YAO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Athumani Kikalanga (37), mkazi wa Kijiji cha Usule, Wilaya ya lramba mkoa, aliyepigwa risasi. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 27, 2024 ofisini kwake, Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, ACP Raphael Mayunga, amesema bunduki iliyotumika ni aina ya Shotgun na tukio hilo limetokea Septemba 19, 2024. ACP Mayunga amesema uchunguzi wa awali wa tukio hilo, umebaini kuwa marehemu alipigwa risasi na Juma Said (45), kwa kutumia bunduki aliyopewa na Juma Omary (47), ambaye ni kaka wa marehemu ambaye alipata bunduki kutoka kwa, John Songelael (51), Mkazi wa kijiji cha Luzilukulu tarafa ya Ndago ambaye ni mmiliki halali wa bunduki hiyo. JAMALDIN ABUU