У нас вы можете посмотреть бесплатно Tamwa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani na wanawake wasiotambulika или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Cheza sasa kupitia https://shorturl.at/jqzU6 na ushinde Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimepanga kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kuwasherehekea wanawake mashujaa ‘wasioimbwa’ kuanzia Machi mosi hadi 30 mwaka huu. Machi 8 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku hiyo kwa kuangalia kile walichokifanya katika kuisaidia jamii kimaendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Jumanne Machi 5, 2024 Mkurugenzi Mtendaji Tamwa, Dk Rose Reuben amesema wanamsherehekea mwanamke kuanzia ngazi ya chini anayejishughulisha au amejiajiri katika eneo lolote ili kujitafutia riziki.