У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgogoro wa Urithi Ndani ya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama cha upinzani nchini Kenya, Orange Democratic Movement, kimeingia katika kipindi kigumu baada ya kufariki kwa kiongozi wake wa muda mrefu, Raila Odinga. Kwa miongo mitatu, ODM ilikuwa ngome thabiti chini ya uongozi wake. Sasa, chini ya uongozi wa kaimu wa Oburu Oginga, chama kinakabiliwa na mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wake wa kisiasa. Hatua ya kumfurusha Katibu Mkuu Edwin Sifuna imechochea uasi na kuibua mirengo miwiliwanaounga mkono ushirikiano na Rais William Ruto na wanaoupinga. Je, ODM inajijenga upya au inaanza kusambaratika? Prof. Herman Manyora, anachambua kwa kina.