У нас вы можете посмотреть бесплатно Jifunze kuchora na kudarizi vitambaa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JIFUNZE JINSI YA KUDARIZ Je ungependa kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa vya makochi,mashuka,foronya za kitandani pamoja na kwenye makochi nifuatilie katika masomo yangu hatua kwa hatua ili uweze kujifunza Lakini tutaanza na kujifunza jinsi ya kudarizi vitambaa MAHITAJI 1)Mashine ya kudarizi 2)Kitambaa 3)Nyuzi za rangi 4)Binding/au urembo wa less 5)Tape measure ya kupimia kitambaa 6)Karatasi iliyochorwa mauwa 7) Cabornpaper 8)Ringi ya kubana kitambaa wakati wa kudariz Hayo ndio mahitaji muhimu yanayotakiwa unataka kudariz kitambaa na kama yanavyoonekana hapo juu kwenye picha Jinsi ya kudarizi hatua kwa hatua 1)Andaa kitambaa ,kitambaa kinatakiwa kiwe cha tetron ndio kifaa zaidi kwa kudarizi ,kisha pima kulingana na zaiz ya kitambaa unachotaka ,aidha ni kidogo au kikubwa ,kwa kawaida kikubwa kinakuwa ni mita moja ambayo ni cm 100 urefu na upana ulingane au utakavyopenda mwenyewe,na kidogo cm 16 kwa 16 urefu na upana ulingane ila ukitaka kikubwa zaidi unaweza ukaongeza ,au kama ni kidogo ukapunguza 2)Ukishamaliza kupima kitambaa chako chukua caborn paper weka juu ya kitambaa ,kisha chukuwa karatasi uliyochora mauwa na uweke juu ya kabon paper na uanze kuchora mauwa kwa kutumia kalamu hadi uwa liishe lote,kisha ondoa kabonpaper na karatasi na utaona mauwa yametokea kwenye kitambaa 3)Chukuwa kitambaa chako na ukibane kwa kutumia ringi,hakikisha kitambaa chako kimekaza vizur ili kisikusumbuwe wakati wa kudarizi 4)Baada ya hapo andaa mashine pamoja na nyuzi za kudarizia,kisha tunga uzi kwenye mashine ,kisha chukuwa kitambaa chako na uanze kudarizi hadi ua lote liishe 5)Ukishamaliza kudariz ,chukua binding na uishonee kwenye kitambaa hadi kiishe na baada ya hapo kitambaa chako kitakuwa tayar kwa matumizi yako mwenyewe au kwa kuuzwa Hiyo ndio jinsi ya kudarizi vitambaa ,kwa leo naishia hapa Usiache kunifuatilia sehemu ya pili ya mfulizo wa masomo haya na tutajifunza jinsi kushona foronya pamoja mashuka