У нас вы можете посмотреть бесплатно TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA wa MTANDAONI KUJISAJILI KUEPUKA ADHABU za KODI..... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA wa MTANDAONI KUJISAJILI KUEPUKA ADHABU za KODI..... MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesisitiza kutekeleza agizo lake la kutoza kodi kwa biashara za mtandaoni, hususan huduma za malazi (online accommodation), ifikapo Septemba Mosi,mwaka huu 2025 Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Agosti 9, 2025 wakati wa uzinduzi wa kampeni ya elimu ya kodi kwa biashara za mtandaoni, Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda, amesema licha ya muda wa usajili kuhitimishwa Agosti 31, baadhi ya wadau wamelalamika muda huo kutotosha na kuomba uongezwe. Hata hivyo, TRA itatekeleza agizo hilo kama lilivyoelekezwa, kufuatia mabadiliko ya kifungu cha 51 cha Sheria ya Kodi, kitakachoanza rasmi Septemba 1 mwaka huu, kwa wamiliki wa mali za majengo yanayotoa huduma za malazi wanaotumia majukwaa ya mtandao. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx