У нас вы можете посмотреть бесплатно Shutma zaendelea kuhusu ugavi wa ardhi ya Kibiko или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shutma kuhusiana na mzozo katika shughuli ya ugavi wa ardhi ya Kibiko ambao umesababisha kifo cha afisa wa polisi, watu kadhaa kujeruhiwa na mali kuharibiwa zimewagawanya viongozi kutoka sehemu hiyo. Baadhi ya viongozi hao wakiongozwa na mbunge wa Kajiado Magharibi George Sunkuiya na wengine wanaoongozwa na gavana Joseph Ole Lenku na mwakilishi wanawake bungeni wa kaunti ya Kajiado Leah Sankaire wanashtumiana kuhusiana na ghasia zilizoshuhudiwa hivi majuzi kufuatia shughuli ya ugawaji ardhi ya ekari 2,800 inayokadiriwa kuwa ya thamani ya shilingi bilioni-100. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive