У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kupanga bei ya vyakula vya mgahawa kupata faida! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya kupanga bei ya vyakula vya mgahawa kupata faida. Video hii inaeleza mambo muhimu ya kuangalia kuhusiana na upangaji wa bei ya chakula na vinywaji katika biashara ya mgahawa. Video hii inaeleza mambo muhimu 5 katika upangaji wa bei za vyakula na vinywaji katika mgahawa. Siri ya mafanikio ya upangaji wa bei mzuri, ni pale unapopanga bei muafaka kwa wateja na ambayo pia itakayokupatia faida ya katika biashara yako. 1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz 5. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali