У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026 MAFUNGO YA KWARESMA 2026. SIKU YA 11 NENO KUU: Mhubiri 3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. Matendo 3:19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; MADA: "KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON) UJUMBE WA LEO :UPAKO WA MAANDALIZI KATIKA MISIMU SHABAHA YA SOMO: 1. Kujua kwamba kuna upako maalumu wa kimaandalizi katika kila msimu wa maisha, na upako huo unalenga kukusaidia na kukuandaa ili uvuke salama na kufikia kusudi. 2. Kupokea upako unaoachiliwa katika msimu uliopo na faida zake.(1 Samweli 16 : 1, 13, Zaburi 78 : 70 - 71, Matendo 13 : 36) 1. UPAKO WA MAANDALIZI JUU YA DAUDI NA MISIMU ALIYOPITIA. (Zaburi 89 : 20 - 23, Matendo 1 : 8) KAZI ZA UPAKO WA KATIKA MISIMU 1: UTAMBULISHO. A. KUMTAMBULISHA MUNGU KWAKO. (1 Samweli 17 : 34 - 37) B. KUKUTAMBULISHA WEWE KWA WENGINE. (1 Samwel 16 : 11 - 13, 1 Samweli 17 : 53 - 58, 1 samweli 18 : 1 - 2, 5 - 9) AJENDA YA KUOMBEA. 1.Omba Mungu akupe upako wa kukuandaa na kukuvusha msimu uliopo ili ufikie kusudi. Mhubiri : Mwl.Benjamin Abel Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com