У нас вы можете посмотреть бесплатно MAZINGE AWAASA WAISLAM KUTUNZA SABATO PART 2: MASWALI NA MAJIBU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mdahalo uliofanyika Tanga Tarehe 2 Hadi 3 Feb. 2023. Vitabu vyote vinathibitisha kwamba, siku pekee aliyoagiza Mwenyezi Mungu kufanyika ibada takatifu ni siku ya Sabato-Jumamosi. Historia inathibitisha kwama Siku ya Ijumaa haikuwa siku rasmi ya ibada katika Uislam. Siku hii ilianzishwa na Waislam wa Madina (Answar) kabla hata Muhammad hajahamia huko (Hijra). Lengo lao lilikuwa ni kujitofautisha na Wayahudi na Wakristo. Muhammad alipo hamia Madini alikuta waislam wa huko wanakusanyika katika siku ya Ijumaa. Siku moja siku ya Ijumaa, Muhammad akiwa anahutubia msikitini, msafara wa wafanya biashara wakaingia mjini kutoka sham, kukawa na vurugu na kelele za wafanya biashara. Masahaba wote wakakimbia kwenda huko na kumwacha anahudubia wakabaki watu 12 tu! Hapo ndipo ikashuka sura ya Ijumaa katika Qur'an kwa lengo la kuwafanya watu waache mambo ya biashara wakati wa Ibada unapokuwa umefika.