У нас вы можете посмотреть бесплатно BONDE LA WAMI RUVU, KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU MBALIMBALI WA HAMASA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA, или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa hamasa ya uhifadhi wa mazingira, imeendelea kuendesha kampeni za uelimishaji kwa jamii kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira na vyanzo vya maji, hususan katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya nchi. Kampeni hizo zinalenga kuwahamasisha wananchi kuchukua hatua za makusudi katika kulinda mito, mabonde na vyanzo vingine vya maji ili kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali hiyo muhimu, sambamba na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na changamoto ya ukame inayojitokeza mara kwa mara. Wakizungumza na Bongo Play Tv Seleman Msindi alimaarufu kama afande sele pamoja na Chief kingaru ambao ni baadhi ya watu maarufu mkoani Morogoro wamesema ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anaimalisha vyanzi vya maji ili kumaliza changamoto ya ukame ya ukame Sophia kalinga ni Mmoja ya wadau wa Mazingira Nchini Tanzania ambaye pia ni Balozi wa Kutunza mazingira amesema wamekuwa wakifanya mbinu mbalimbali za kutoa elimu mwa umma juu ya utunzaji wa Mazingira