У нас вы можете посмотреть бесплатно Namna ya kutambua dalili za Gono (kisonono). mambo usiyoambiwa kuhusu kisonono или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dalili za Kisonono | Elimu ya Afya kutoka kwa Afisa muuguzi aliyesajiliwa na mamlaka za Uuguzi nchini Tanzania Video hii inaelezea kwa kina dalili za awali na za baadaye za ugonjwa wa kisonono (gonorrhea), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuelimisha jamii kuhusu afya ya uzazi na magonjwa ya ngono. Imetayarishwa kwa madhumuni ya elimu pekee na haikusudii kuchukua nafasi ya ushauri wa daktari, hata picha zilizotumika ni kwa ajili ya kufundishia na kuelezea tu. Imeandaliwa na Muuguzi mwenye Shahada ya Sayansi ya Uuguzi (Bachelor of Science in Nursing), kwa lengo la kutoa maarifa sahihi na yanayoeleweka kwa jamii. Katika video hii utajifunza: Dalili za kawaida za kisonono kwa wanaume na wanawake Athari za kuchelewa kutambua au kutibu Umuhimu wa uchunguzi wa mapema na matibabu sahihi Ushauri wa kiafya kuhusu kinga na ufuatiliaji 🔔 Subscribe ili kupata video zaidi za elimu ya afya zinazolenga kuboresha maisha ya jamii.