У нас вы можете посмотреть бесплатно MFUMO MPYA WA KODI UTAKAO PUNGUZA MIGOGORO KUANZA JANUARY, GAVANA WA BOT NA KAMISHNA TRA WAFUNGUKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Dr, Emmanuel Tutuba amesema Tanzania itaendelea kuweka mazingira bora ya biashara ikiwemo eneo la kodi huku akisisitiza benki kuu ya Tanzania itaendelea kulinda uwekezaji katika taasisi za kifedha. Ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao kazi cha pamoja baina ya watendaji wa benki za nchini Tanzania mamlaka ya mapato nchini TRA pamoja na Gavana wa benki kuu huku akisema mazingira hayo ni pamoja na ukusanyaji wa madeni kupitia uwakala wa benki kwa kuzingatia taratibu na sheria huku akisisitiza taasisi za kifedha kuheshimu taratibu na sheria za uendeshaji. Naye kamshina wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania TRA Yusuph Mwenda amesema mamlaka ya mapato Tanzania itaendelea kuja na mifumo rahisi na rafiki katika ukusanyaji wa mapato na kodi mifumo ambayo mingine itaanza kufanya kazi mwezi januari mwakani ili kuondoa changanoto zinazowakumba walipa kodi nchini.