У нас вы можете посмотреть бесплатно AIBU!! MWANAJESHI MSTAAFU AILIPUA VIBAYA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI NJOMBE KWA KUSEMA UONGO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni katika ziara ya kamati ya siasa mkoa wa Njombe katika halmashauri ya mji wa Makambako ambapo mbele ya katibu wa siasa na uenezi mkoa wa Njombe Josaya Luoga,mwenyekiti huyu wa serikali ya mtaa wa Kahawa ndugu David Mwamlima ambaye ni mwanajeshi mstaafu amelazimika kusimama kwa hasira akiwataka wataalam wa halmashauri kupitia ofisi ya mkurugezi kuwa wakweli kutokana na kusema kuwa halmashauri hiyo huwalipa posho wenyeviti shilingi laki mbili kila baada ya miezi mitatu ili hali yeye amepewa shilingi elfu 30 kwa miezi sita