У нас вы можете посмотреть бесплатно FURAHA DIMiTRIOS | Dr Tomic simbeye - TASWO MPYA OFFICIAL SONG | KAMPENI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wimbo Rasmi wa Kampeni – TASWO Mpya Je, unajua kuwa sera zinaweza kusikika pia kupitia muziki? Watu wengi husema sera ni ndefu kusoma au wakati mwingine zinachosha kuzisoma. Ndiyo maana safari hii tumeamua kuleta njia mpya ya kufikisha ujumbe wetu. Sisi hatuuzi poster… sisi tunauza sera. Na safari hii tunauza sera hata kupitia nyimbo. Ndani ya wimbo huu utasikia maono ya TASWO mpya, dhamira ya kuimarisha taaluma ya ustawi wa jamii, na mipango ya kuwaletea wanachama maendeleo, ushirikiano na heshima ya taaluma. Ujumbe ni mmoja tu: Furaha anaweza… na anaweza kweli. Sikiliza wimbo huu, sikiliza sera zetu kupitia muziki, na ujionee maono ya uongozi unaotaka kuijenga TASWO imara zaidi. 🔥 Chagua Furaha Dimitrios – Chagua TASWO Mpya. #TASWOMpya #ChaguaFuraha #UongoziWenyeSera