У нас вы можете посмотреть бесплатно Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kinavyotekeleza SDGs nchini Tanzania или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni miongoni mwa vipaumbele vya Umoja wa Mataifa kupitia Lengo namba 7 la Malengo ya Maendeleo Endelevu. Huko Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, kikundi cha vijana kutoka Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kimebuni suluhu ya kuchakata taka za plastiki na kuzibadili kuwa nishati safi ya kupikia ya gesi. Sabrina Saidi wa idhaa hii amefanya mahojiano na kiongozi wa mradi, Mhandisi wa Kemikali Amasha Kyando, pamoja na mmoja wa vijana wanaoshiriki mradi huo, wanaeleza namna ubunifu huo unavyosaidia kupata nishati safi na kulinda mazingira.