У нас вы можете посмотреть бесплатно Khan Mbarouk Hongera Ali Kamwe Pole Kwa kumpoteza Hamisa Mobeto Kwa haya mahusiano или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HONGERA MBARUKU KHAN, HONGERA ALI KAMWE Kuna wakati mtu hutumbukia kwenye lindi refu la usingizi na kuhitaji dua ili kuzinduka. Hii ndiyo hali iliyomkuta ndugu yangu @alikamwe wakati fulani. Sisi ndugu zake tulimuona ndugu yetu akiwa amelala lakini tulishindwa kumuamsha tukihofu ule msemo wa Kiswahili wa UKIMUAMSHA ALIYELALA, UTALALA WEWE. Mingu wetu mlezi akatumia akili nyingi za mja wake @mbarukukhan kumtoa kijana kwenye usingizi mzito. Akakaa chini, akaandika mashairi mazito na akayaghani kwa ufundi mkubwa. Alhamdulillah kijana akaamka na kutoka kwenye usingizi ule. Akili ilipomrudia akakumbuka kwamba nyuma yake kuna mama yake mzazi aliyekuwa akimuombea dua njema maisha yake yote. Akarudi kwa akina Chausiku na sasa amefanya jambo la kheri kwa mama yake. Hongera sana Khan kwa ujumbe ule, hongera sana Ali Kamwe.