У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS SAMIA AMPA MILIONI 10 MWANAMUZIKI MKONGWE ALLY ZAHIL ZORRO | MWANA FA AMTEMBELEA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msaada wa shilingi milioni 10 kwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Ally Zahir Zorro. Msaada huo ulikabidhiwa nyumbani kwake Kigamboni na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) Katika video hii utashuhudia: Tukio la kukabidhi msaada wa Rais Samia kwa Zorro Ziara ya Mwana FA nyumbani kwa mwanamuziki huyu mkongwe Shukrani na hisia za Zorro kwa msaada huu wa kipekee Tukio hili linaonesha namna serikali inavyowathamini wasanii walioweka historia na kutoa hamasa kwa kizazi kipya cha muziki nchini. Usisahau ku-subscribe kwa habari na matukio mengine ya burudani na utamaduni Tanzania.