У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 04/02/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVERNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 04/02/2026 UJUMBE WA LEO: UWEZO WA MUNGU KATIKA KUFANYA JAMBO JIPYA LENYE UTUKUFU MPYA Hagai 2:3-9 3 Miongoni mwenu amebaki nani aliyeiona nyumba hii katika utukufu wake wa kwanza? Nanyi mnaionaje sasa? Je! Mbele ya macho yenu, siyo kama si kitu? 4 Lakini sasa uwe hodari, Ee Zerubabeli, asema Bwana; nawe uwe hodari, Ee Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu, nanyi iweni hodari, enyi watu wote wa nchi hii, asema Bwana; mkafanye kazi, kwa kuwa mimi ni pamoja nanyi, asema Bwana wa majeshi; 5 kama neno lile nililoagana nanyi mlipotoka katika nchi ya Misri; na roho yangu inakaa kati yenu; msiogope. 6 Kwa maana Bwana wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu; 7 nami nitatikisa mataifa yote, na vitu vinavyotamaniwa na mataifa yote vitakuja; nami nitaijaza nyumba hii utukufu, asema Bwana wa majeshi. 8 Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi. 9 Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema Bwana wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema Bwana wa majeshi. NINI UFANYE UNAPO TARAJIA JAMBO JIPYA LENYE UTUKUFU MPYA? 3. Usipuuzie msukumo wa maombi ambao Mungu anauchilia ndani yako. ( Kutoka 2 : 23 - 24, Iasya 37 : 3 ) 4. Usipuuzie unapo sikia msukumo wa kutoa sadaka hatakama ni ya gharama kiasi gani. ( Mwanzo 18 : 2 - 10 ) 4. Usipoteze ahadi za Mungu. ( 2 Wakorintho1 : 20 ) Ahadi za Mungu ndizo husababisha kuzaliwa kwa jambo jipya, jambo jipya linafanyika ili kutimiza ahadi. ( Hesabu 23 : 19, Isaya 55 : 10 - 11 ) MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU AHADI ZA MUNGU i.Mungu anaziheshimu sana ahadi zake. ( Zaburi 138 : 2 ) ii.Mungu amezikuza ahadi zake kwanza ili kulipa heshima jina lake hivyo hawezi kusema na asitende. ( Hesabu 23 : 19, Isaya 55 : 10 - 11 ) iii.Mungu huziweka ahadi zake kwenye neno lake na huziidhi ndani yako. ( Mithali 23 : 7 ) iv.Mungu anapeda umkumbushe ahadi zake. ( Isaya 43 : 26 ) v. Ahadi zinapiganiwa unaweza ikazuiliwa au kubadilishwa na ukubwa ahadi iliyo juu yako ndio inaamua kiwango cha vita yako. ( Yoshua 14 : 6 - 13 ) Mhubiri: Mwl. Ezekiel Malando Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com