У нас вы можете посмотреть бесплатно JACQUELINE MENGI ASINDIKIZWA NA MAMA DIAMOND PLATNUMZ KUKABIDHI MAKTABA MPYA SHULE YA MSINGI TANDALE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi wa @drntuyabaliwe_foundation @j_n_mengi Akielezea Kwa nini leo walitoa zawadi ya Jengo Jipya la Maktaba Mpya kwa shule ya Msingi Tandale Magharibi kwa mshindi wa shindano la #AndikaChallenge lililoanzishwa na Taasisi yake . . Shindano la #AndikaChallenge Ni shindano la Kutunga na Kuandika Hadithi kwa shule za Msingi na lilianzishwa lengo likiwa kuwatengenezea uwezo wanafunzi kupenda kujisomea na kutenga muda wa kufanya uchunguzi wa vitu mbalimbali wakiwa shuleni na majumbani lakini pia kujua kwamba kusoma peke yake haitoshi bali pia kuandika na lilifanyika kwa shule za msingi kwa Mkoa wa Dar es Salaam Kuanzia Darasa la 4 - 7