У нас вы можете посмотреть бесплатно RECAP: DIAMOND ameshuka?? atupwa AFRO NATION, TAYLA awagaragaza WIZKID, DAVIDO GRAMMY, KIREDIO NOMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🎬 RECAP & MANDO | EPISODE 11 Karibu kwenye Episode ya 11 ya Recap & Mando, episode yenye habari nzito kutoka Afro Nation hadi Grammy Awards 2026 🌍🔥 🔥 HEADLINES ZA LEO: 👉 DIAMOND atupwa nje ya AFRO NATION 2026, huku BIEN akiwa ndani — Bongo Flava imeachwa pembeni? 👉 GRAMMY AWARDS 2026: 🏆 KENDRICK LAMAR aweka REKODI MPYA — ashinda tuzo 5, amempita JAY-Z na kufikisha Grammy 27, akiwa rapper mwenye Grammy nyingi zaidi historia. 🏆 TYLA aendeleza ubabe — ashinda Grammy ya pili, akiwapita Wizkid, Davido na Burna Boy. 👉 MBOSSO atikisa Mwanza — Darasa la Saba wapokelewa kwa mapokezi makubwa. 👉 NANDY aonyesha darasa la promo — wimbo Asante watamba mitandaoni. 🎶 Pia ndani ya episode hii: – Nafasi ya wasanii wa Afrika kwenye majukwaa ya dunia – Grammy 2026: nani yuko juu, nani ameachwa – Muziki, PR na strategy kwenye game ya sasa 📌 USISAHAU: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe 📤 Share