У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na Baraka Ep 21 | FAHARI TOKA ITETE Part 2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Mimi ni kama wewe tu juu ya ufahamu wa huyu mtu ambaye ameibeba Itete iliyopo kata ya Isuto tarafa ya Isangati, wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla, jina ni Baraka Adson Mpenja. Wengi humuita sauti ya radi, utamshi wake wa maneno na majina ya wachezaji na viongozi ni wa namna ya kipekee haswa, na bila ya shaka hiyo ndo tofauti kuuubwa kabisa kati yake yeye na watangazaji wengine wa kabumbu ikiwa pamoja na mimi hapa Tanzania. Ni kijana na ni maridadi na pia hajasahau wapi ametoka na ndoto zake ndo hizi ananoziishi sasa kwa mujibu wa maongezi yetu haya. Umaarufu wake si wa kulazimisha wala si wa skendo, kazi yake maridadi aifanyayo kwa ustadi wa hali ya juu ndo imemtambulisha kwetu hapa nyumbani na kanda nyengine za Afrika ambapo king’amuzi cha Azam kinafika. Burudani ambayo anaitoa huku akipeperusha umaarufu wa ligi kuu ya Tanzania bara na mashindano ya kimataifa ni ya mfano wa kuufuata hasa. Yangu hakika katika sajili bora ambazo AzamTV walishawahi kufanya basi ya Baraka Adson Mpenja inaweza ikawa ya kuokota dodo chini ya Mvinje. Basi umaridadi wake huo ndo ulotusukuma haswa sisi kumuita kwenye meza yetu, na akaja bila ya kusita. Tuliongea kuhusu chimbuko lake, ndoto zake jinsi anavyojifunza kila siku kutoka kwa wazoefu walomzunguka, masomo, ndoa, maisha kwa ujumla na mapenzi yake kwa mpira wa miguu. Ilikua matani na ung’amuzi mwingi wakati naongea naye na yangu matumaini uta enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam... Follow: Twitter: / yahstonetown Instagram: / yahstonetown Facebook: / yahstonetown