У нас вы можете посмотреть бесплатно "Wazee wa mila huchagua Kaya ya kuanza tohara na lazima mtoto afariki" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwishoni mwa mwaka wa 2022 baadhi ya vijana wilayani tarime walikimbia kwenye makazi yao wakikwepa kutahiriwa kwa mara ya pili baada ya kufanyiwa tohara salama kwenye vituo vya afya. Kwa mujibu wa mila na desturi za kabila la Wakurya kijana asipotahiriwa kimila hawezi kushiriki shughuli zote za kijamii lakini pia hutengwa na watu wa rika lake na kupewa jina la utani Murisha Wengi wameishia kupoteza damu nyingi na kubaki na majeraha waliyoyauguza kwa muda mrefu. Mwandishi wa BBC Eagan Salla alikua mkoani Mara na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #mara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili