У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA MUHIMU ZINAZOANGALIWA KATIKA AJIRA PORTAL или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Bi. Lynn Chawala, katika mahojiano kwenye kipindi cha Morning Special cha radio Abood FM, Mkoani Morogoro amesema kuwa ili kuomba ajira Serikalini ni lazima kujiunga na Ajira Portal na kuhakikisha umejaza taarifa muhimu pamoja na kuambatanisha nyaraka muhimu kama vyeti vya kitaaluma, picha ya passport, transcript na cheti cha kuzaliwa. Aidha alibainisha kuwa taarifa za wadhamini pia ni muhimu kujaza wadhamini ambao wanakufahamu au upo nao karibu na wanaweza kutoa taarifa zako pindi zikihitajika.