У нас вы можете посмотреть бесплатно OSAMA BIN LADEN: MAISHA YA UTOTONI MPAKA KUWA GAIDI, FAHAMU ALIVYOKAMATWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unamfahamu Osama bin Laden? Jina lake limebaki katika historia kama mmoja wa watu waliotikisa dunia kwa mashambulizi ya kigaidi. Lakini, hadithi yake inaanzia wapi? Katika video hii, tutaangalia safari yake ya kushangaza – kutoka kuwa kijana tajiri wa familia maarufu ya Saudi Arabia hadi kuwa mtu aliyesakwa zaidi duniani. Utajifunza kuhusu maisha yake ya utotoni, jinsi alivyohusishwa na jihadi ya Afghanistan, na msako wa miaka 10 uliohitimishwa na operesheni ya kihistoria ya SEAL Team Six. Bonyeza play ili kujua jinsi ulimwengu ulivyokutana na jina hili la kutisha – na kile kilichotokea mwishowe! Usisahau ku-like, ku-subscribe, na kushare ili wengine wajifunze zaidi. #HistoriaYaOsama #AlQaeda #SafariYaBinLaden #Jihadi #HistoriaYaKusisimua