У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMBO YA KUZINGATIA KWA KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI 2021 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI Katika shamba lililo hudumiwa vizuri na kupandwa katika hali ya hewa na aina ya mbengu. Vitunguu hutoa kiasi cha tani (10) hadi 16 kwa ekari moja. MATUNZO YA BUSTANI YA VITUNGUU PALIZI Mmea wa kitunguu una mizizi mifupi, hii husababisha kutunguu kuathirika sana na ushindani na magugu. Mizizi mifupi ina maana huufanya kukosa uwezo wa kustahimili ushindani wa magugu. Magugu yana uwezo mkubwa wa kufyonza virutubisho ardhini kuliko mimea ya mazao, na ndio maana magugu hukua kwa haraka kuliko mazao. Hivyo inashauriwa katika shamba la vitunguu hakikisha unafanya palizi kwa wakati. Idadi ya palizi inategemea na aina na wingi wa magugu wa eneo husika. Kwenye ameneo yenye magugu mengi, palizi hufika hadi 4, na kwa maeneo ambapo magugu sio tatizo palizi mbili zinatosha. UMWAGILIAJI Zao la vitunguu linahitaji maji ya kutosha katika kipindi chote cha ukuaji wa mmea na hasa wakati wa kutunga tunguu. Katika kipindi kisicho na mvua (mwezi mei hadi Agosti) Umwagiliaji ufanyike mara moja kwa wiki kwa udongo wa mfinyanzi tifutifu na vitunguu vilivyopandwa katika vijaruba. Ili kuharakisha kukomaa kwa vitunguu unashauriwa kupunguza kiasi cha maji ya kumwagilia taratibu kadri zao linavyo kua. Pia ni vizuri uache kumwagilia maji mapema wiki nne hadi sita kabla ya kuvuna. Kwani muda kamili wa kukomaa na kuvuna kwa vitunguu ni siku 90 hadi 150 kutegemea na aina ya mbegu. UVUNAJI WA VITUNGUU Muda wa ukomaaji wa vitungu hutegemea aina ya vitunguu pamoja na hali ya hewa ya eneo husika. Aina za chotora (hybrid) mara nyingi hukomaa mapema, huchukua miezi 3 hadi 5 baada ya kusia mbegu. Aina za kawaida (OPV) na zile za kienyeji hazina ukomaaji unaofanana (do not mature uniformly), hukomaa kwa makundi makundi. UKAUSHAJI WA VITUNGUU. Baada ya kuvuna kitunguu, hatua inayofuata ni ukaushaji (curing) na hii inafanyikia palepale shambani. Kukausha kitunguu ni ule mchakato wa kukausha ile shingo ya kitunguu. Shingo ya kitunguu inapokauka inakifunga kitunguu, pia inaziba njia ambazo zinaweza kutumiwa na vijidudu kuingia ndani kuharibu kitungu. Ukaushaji pia husaidia kupata kitunguu chenye ngozi iliyokauka na yenye rangi nzuri. UHIFADHI WA VITUNGUU (STORAGE) Kitungu ndio zao lenye uwezo wa kuhifadhika kwa muda mrefu zaidi kuliko mazao yote ya mboga mboga. Kitunguu baada ya kuvunwa bado kinakua ni kiumbe kinachoishi (living organism) ikimaanisha kinaenelea na michakato kama kupumua, kupoteza maji n.k Hivyo uhifadhi wake unahitaji umakini ili kuweza kukaa muda mrefu bila kuharibika. MATUMIZI YA MBOLEA. 1. MBOLEA KUNDI LA KWANZA. ➡Mbolea za kupandia. Hizi huwekwa kabla au mara tu ya kuhamishia miche shambani. Mbolea hizi zina lengo la kusaidia ukuaji mzuri wa mifumo ya mzizi (root systems) itakayosaidia mmea kufyonza virutubisho na maji kutoka ktk udongo. Mbolea hizi zina madini/ kirutubisho kikuu cha fosforasi (P), na huitwa mbolea za fosfeti (Phosphate Fertilizers), kundi hili lina mbolea kama MOP, TSP, DAP, Minjingu n.k. 2. MBOLEA ZA KUKUZIA Mbolea hizi huwekwa kipindi cha ukuaji wa mmea (vegetative growth) na hua na lengo la kuupa mmea afya na ukuaji mzuri utakaopelekea kuwa na majani mazuri yatakayotengeneza chakula cha kutosha kwaajili ya mmea. Kirutubisho kikuu katika kundi la mbolea hizi ni Nitrogen (N). Baadhi ya mbolea zilizopo kwenye kundi hili ni pamoja na UREA, SA, CAN n.k. Pia kwenye kundi hili zipo mbolea za maji zinazopigwa kwenye majani (foliar fertilizers) hujulikana pia kama booster. 3. MBOLEA ZA KUZALISHA/KUKOMAZIA KITUNGU KILIMO CHA VITUNGUU MAJI KILIMO CHA KITUNGUU MAJI:- MBOLEA YA KUKUZIA ... #mkulimasmart #shambadarasa Jinsi Ya Kufanya Kilimo Cha Vitunguu Maji 2021 KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI MAELEZO YA MSINGI KUHUSU KILIMO CHA VITUNGUU Kanuni za kilimo bora cha vitunguu maji kilimo cha kitaalamu cha vitunguu maji Tanzania. FAIDIKA NA KILIMO CHA VITUNGUU MAJI. uzalishaji wa vitunguu kibiashara bei ya mbegu za vitunguu maji bei ya vitunguu maji kwa gunia 2021 bei ya vitunguu maji 2020 heka moja ya vitunguu inatoa gunia ngapi changamoto za kilimo cha vitunguu kilimo cha vitunguu maji pdf bei za mbegu za vitunguu kilimo cha vitunguu maji dodoma