У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanawake wachimba migodi wapokea mafunzo maalum Taita Taveta или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanawake walioko kwenye sekta ya uchimbaji madini kaunti ya Taita Taveta wamepokea mafunzo maalum kuhusu jinsi ya kukabiliana na dhulma za kijinsia wanapoendelea na shughuli za kuchimba madini. Katika mkutano uliowaleta pamoja wanawake kutoka eneo la Kamtonga huko Mwatate ilibainika kuwa ukosefu wa vifaa vya kazi hiyo bado ni changamoto kubwa. Kwa sasa wito umetolewa kwa jamii kuripoti visa vya dhulma za kijinsia hasa baada ya kubainika kuwa wanawake wengi wanahofia kuripoti visa hivyo.