У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 Countdown ya Ramadhani na kwarezma Ep 3 | Mswiswi mbeya unashiriki vipi kuirinda Amani ya Tz! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📌 COUNTDOWN YA RAMADHANI NA KWAREZMA | EP 3 Katika sehemu hii ya tatu ya mfululizo wa Countdown ya Ramadhani na Kwarezma, tumeshuka Mswiswi – Mbeya kuzungumza na wananchi ili kufahamu uelewa wao kuhusu misimu hii miwili mikubwa ya kiimani. Ramadhani kwa Waislamu ni mwezi wa funga, toba na kujisogeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Kwarezma kwa Wakristo ni kipindi cha toba, tafakari na maandalizi kuelekea Pasaka. Katika mahojiano haya pia tumewauliza swali muhimu: 👉 Ni kwa namna gani waumini wa dini hizi mbili wanachangia kulinda amani ya Tanzania? 🇹🇿 Tunapata majibu ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi kuhusu maandalizi yao ya kiroho pamoja na wajibu wao wa kudumisha umoja, mshikamano na amani ya taifa letu. ❓ SWALI KWA WAISLAMU: Ramadhani inakaribia — Je, umejiandaa vipi kiroho, kimatendo na kijamii kuupokea mwezi mtukufu? Na unafanya nini kuhakikisha unalinda amani na mshikamano katika jamii? ❓ SWALI KWA WAKRISTO: Katika kipindi cha Kwarezma — Unafanya tafakari gani binafsi ili kuimarisha imani yako? Na ni kwa namna gani unachangia kulinda amani ya Tanzania? 🙏 Lengo letu ni kujenga uelewa, kuheshimiana, kuimarisha maadili ya dini zetu na kuendeleza amani ya taifa letu. 📍 Location: Mswiswi – Mbeya 📺 Subscribe: Masjid Taqwa TV 🔔 Washa kengele upate vipindi vyote vya mfululizo huu. 👍 Like • Comment • Share #CountdownYaRamadhani #Kwarezma #AmaniYaTanzania #MasjidTaqwaTV #Mbeya #Mswiswi