 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно Maandalizi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2025. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
Ikiwa imesalia siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, aliyekuwa makamu wa Rais wa Uganda Daktari Speciosa Wandira Kazibwe anaongoza ujumbe wa waangalizi kutoka jumuiya ya Afrika Mashariki EAC watakaotumwa nchini Tanzania kuangalia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Ujumbe wa EAC unatumwa siku chache baada ya ujumbe mwingine kutoka jumuiya ya kimaendeleo ya Afrika kusini SADC kutumwa nchini humo. Ujumbe huo wa SADC unaongozwa na Richard Msowoya ambaye ni Spika wa zamani wa bunge la Malawi. #Tanzania #uchaguzi2025 #bbcswahili #CCM #samiasuluhuhassan #Chadema #Heche #uchaguzimkuu2025 #uchaguzimkuu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili