У нас вы можете посмотреть бесплатно RIDHIWANI KIKWETE AWATAKA WANAFUNZI KUTAJA WALIOSABABISHA CHANZO CHA MOTO SHULE YA KIWANGWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete amefika eneo la Shule ya Sekondari ya Kiwangwa kushuhudia uharibifu uliotokana na Moto uliounguza Bweni la Wasichana shuleni hapo. Katika ziara yake hiyo amekutana na Katibu Tawala wa Mkoa Pwani Hajat Mwanaasha Tumbo na wanafunzi waliopata usumbufu kutokana na hali hiyo nakuwaeleza namna walivyojipanga kuwasaidia ili waweze kuendelea na masomo yao ikiwa ni pamoja na kudhibiti na kuhakikisha hali inarudi vizuri kimasomo kama ilivyokua mwanzo. Aidha Mhe.Ridhiwani aliongozana na baadhi ya viongozi wa ulinzi na usalama wa eneo hilo na kamati mbalimbali za maendeleo ili kujadiliana mipango ya maendeleo.